KESI YA MBOWE NA WENZAKE YAPIGWA KALENDA

 Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe akitoka mahakama ya Hakimu Mkazi Ksiutu na kurejea rumande mara baada ya kesi yake kuarishwa kwa kesi yake ya uchochezi na kusababisha kifo ambapo kesi hiyo itatajwa tena  january 17 /2019.
 Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe akiwa na washtakiwa wenzie akizungumza na Wakili wake Prof Award Safari.
 Mbunge wa Kibamba kupitia Chadema, John Mnyika, akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama hicho, Vicent Mashinji mara baada ya kutoka katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu
 Mbunge wa Kawe, Halima Mdeeakitoka nje ya jengo la Mhakama mara baada ya kuarishwa kwa kesi inayowakabili katika mahakama hiyo.
Baadhi ya Viongozi Waandamizi Wachadema wakitoka katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mara baada ya kuarishwa kwa kesi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe.

Post a Comment

Previous Post Next Post