WASANII WAKONGWE WABWAGWA TUZO ZA SZIFF

 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dr.Tulia Akson Mwansasu akizungumza wakati wa ufunguzi wa usiku wa Tuzo za Sinema Zetu Film Festivala zilizofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.
  Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dr.Tulia Akson Mwansasu akikabidhiz tuzo ya Msanii Bora wa kike Mtoto Kutoka Iringa aliyecheza Filamu ya Kesho
 Mseamaji wa Klabu ya Simba Haji Manara akikabidhi Tunzo kwa Muongozaji wa Filamu John Kallaghe
 Wema Sepetu akizungumza Jambo na Wadau wa Muziki waliofika katika tunzo hizo za Sinema zetu
 Baadhi ya Viongozi wa Umoaj wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi wakifatilai Tunzo za Sinema Zetu zilizofanyika Mlimani City.
 Washehereshaji wa Tunzo Hizo Baruani Muuza na Elizabeth Michael wakiwa jukwani wamependeza
 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo akitoa neno kama Mlezi wa Tunzo hizo na kukaribisha msimu wa tatu
 Muigizaji Maharufu katika Sinema ya Sultan Shaazad Mustafa akiwasili katika ukumbi wa Mlimani City Mahali ambapo Tunzo za Sinema zetu zilifanyika.
t

Post a Comment

Previous Post Next Post