SIMBACHAWENE AWATAKA UDART KUONGEZA UFANISI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. George Simbachawene (Mb), Katikati akifurahi jambo na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda na wakuu wa Wilaya ya za Dar es Salaam Alli Api wa Kinondoni, Raymond Mushi, Ilala na Sophia Mjema wa Temeke.Picha na
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda akisalimina na Mkurugenzi wa Kinondoni
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akisalimia na Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. George Simbachawene (Mb), Katikati akifurahi jambo na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda na wakuu wa Wilaya ya za Dar es Salaam Alli Api wa Kinondoni, Raymond Mushi, Ilala na Sophia Mjema wa Temeke.Picha na

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. George Simbachawene (Mb),amewataka watendajio wa wa Dart kuakiksha hudama za mradi huo ziendelee kuoboreshwa licha ya kuwepo kwa changamoto kadhaa zinazo wakabili.

Simbachawene alisema hayo jana alipotembelea mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam na kujionea namna mradi huo unavyofanya kazi na kurahisisha usafiri kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. George Simbachawene (Mb), Katikati akifurahi jambo na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda na wakuu wa Wilaya ya za Dar es Salaam Alli Api wa Kinondoni, Raymond Mushi, Ilala na Sophia Mjema wa Temeke.Picha na

Post a Comment

Previous Post Next Post